Swali: Ni ipi maana ya maneno ya wanachuoni “Maoni ya Swahabah ni hoja”? Je, mtu anapata dhambi kwa kutofautiana na maoni ya Swahabah ikiwa maoni hayo hayaendi kinyume na dalili?

Jibu: Maoni ya Swahabah ni hoja ikiwa hakuna Swahabah mwengine mwenye kuonelea kinyume. Sharti nyingine ni kwamba maoni hayo yasiwe ni yenye kwenda kinyume na Qur-aan na Sunnah. Katika hali hiyo maoni ya Swahabah ni yenye kuzingatiwa ikiwa hakuna Swahabah mwengine mwenye kuonelea kinyume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/05/2018