Swali: Je, ni sahihi kwamba mtu akichelewesha Minaa mpaka siku ya 13 Dhul-Hijjah basi hakuna neno akarusha vijiwe kwenye nguzo kabla ya Dhuhr siku hiyohiyo?

Jibu: Hapana. Siku zote za Tashriyq hakuna kurusha vijiwe isipokuwa baada ya kuingia Dhuhr. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alichelewa Minaa mpaka siku ya tarehe 13 na akarusha vijiwe kwenye nguzo baada ya kuingia kwa Dhuhr.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 03/04/2020