Hapa ndipo kumgusa mwanamke kunachengua wudhuu´

Swali: Je, mwanamke kumgusa Mahram wake, sawa awe mume wake au mwengine, kunachengua wudhuu´?

Jibu: Ikiwa ni kwa matamanio kunachengua wudhuu´. Ama ikiwa ni pasi na matamanio hakuchengui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017