Hapa ndipo jimaa kwenye tupu ya nyuma ni ukafiri mkubwa


Swali: Hadiyth yenye kusema:

”Yule mwenye kumwingilia mkewe kwenye tupu ya nyuma basi amejiweka mbali na yale yaliyoteremshwa kwa Muhammad.”

Je, yule mwenye kufanya hivo anakufuru?

Jibu: Haya ni matishio, makemeo makali. Kama anahalalisha kumwingilia mke wake kwenye tupu ya nyuma ni kafiri. Asipohalalisha kitendo hicho ni mtenda dhambi aliyefanya dhambi kubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (63) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16641
  • Imechapishwa: 20/02/2021