Hapa ndipo itamlazimu masikini kutoa Zakaat-ul-Fitwr


601- Nilimsikia Ahmad akiulizwa kama ni lazima kwa masikini kutoa Zakaat-ul-Fitwr. Jawabu lake lilikuwa:

“Ni lazima kwake kuitoa kama yuko na chakula cha siku hiyo.”

Kukasemwa kuambiwa Ahmad: “Hana.” Ahmad akajibu:

“Hahitajii kuitoa.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 124
  • Imechapishwa: 09/03/2021