Hapa ndipo itafaa kwa Salafiyyuun kupiga kura

Swali: Nchi hivi sasa Libya inawaita watu kuwapigia kura wagombea sitini ili kuamua katiba ya nchi…

Jibu: Nisikilize. Ikiwa katiba hii ni ya Kiislamu, basi inafaa kwa Salafiyyuun kushiriki ndani yake. Na ikiwa ndani yake kuna mambo ya uongo na mchezo, basi haifai kwao kufanya hivo.