Hapa itamlazimu fakiri pia kutoa Zakaat-ul-Fitwr

Swali: Fakiri akikusanyikiwa na kiasi kikubwa cha Zakaat-ul-Fitwr katika hali hiyo itakuwa ni lazima kwake kutoa Zakaat-ul-Fitwr?

Jibu: Hapana shaka. Akipata Zakaat-ul-Fitwr [kiasi kikubwa] kutoka katika vile alivyopewa atatakiwa kutoa. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
  • Imechapishwa: 11/10/2019