Swali: Muulizaji huyu ni kutoka Uingereza anauliza kama inafaa kuwagawia watoto halua siku ya ijumaa ili kuwalea [na kuwazoweza] juu ya kwamba ni sikukuu ya waislamu na khaswa ukizingatia ya kwamba tuko katika nchi ya Ulaya?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Hii ni Bid´ah. Wafunzeni ya kwamba waislamu katika siku hii wanaswali swalah ya ijumaa katika siku hii. Mambo ya kuwagawia halua yametoka wapi? Hapana, haya hayakuthibiti.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=66
  • Imechapishwa: 30/07/2020