Swali: Baadhi ya walinganizi wanalinganisha Da´wah ya Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab na Da´wah ya al-Ikhwaan na Jamaa´at-ut-Tabliygh. Bali baadhi yao wameweka wazi kwamba Da´wah ya al-Ikhwaan na Jamaa´at-ut-Tabliygh ni bora kuliko Da´wah ya Shaykh kwa hoja kwamba ina manufaa mengi zaidi kwa sababu ni yenye kuenea kwa wingi zaidi.

Jibu: Kinachozingatiwa sio kuenea, kinachozingatiwa ni Da´wah iwe ni yenye manufaa zaidi na yenye kuafikiana na Qur-aan na Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 14/07/2019