Swali: Nikiacha kusoma al-Faatihah kwa kukusudia. Je, niswali Rak´ah nyingine?

Jibu: Pamoja na imamu?

Muulizaji: Ndio.

Jibu: Kisomo cha imamu kinatosha. Rukuu pamoja na imamu. Kisomo cha imamu kinatosha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 06/08/2019