Swali: Kuharibika hali za waislamu ni miongoni mwa alama za Qiyaamah?
Jibu: Hakusemwi kitu juu ya alama za Qiyaamah isipokuwa yale yaliyothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ima yawe yamekuja katika Qur-aan au yawe yametoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakusemwi hili kuwa ni katika alama za Qiyaamah ilihali halina dalili yoyote.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14005
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Kuharibika hali za waislamu ni miongoni mwa alama za Qiyaamah?
Jibu: Hakusemwi kitu juu ya alama za Qiyaamah isipokuwa yale yaliyothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ima yawe yamekuja katika Qur-aan au yawe yametoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakusemwi hili kuwa ni katika alama za Qiyaamah ilihali halina dalili yoyote.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14005
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/hakusemwi-kitu-juu-ya-alama-za-qiyaamah-pasi-na-dalili/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)