Hakuna yeyote katika Salaf aliyesema hivo

Swali: Inajuzu kusema au kueleza kwamba “Allaah yuko imara na sio mwenye kugeuka kama binaadamu”?

Jibu: Maneno haya hayana msingi. Hatujui kuwa kuna yeyote katika Salaf aliyesema maneno kama haya. Kwa hivyo haifai kumweleza hivo isipokuwa tu kwa yale yaliyothibiti kupitia maandiko.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 28/01/2018