Hakuna wakati uliyokatazwa siku ya ijumaa


Swali: Je, ni kweli kwamba ijumaa haina wakati uliyokatazwa wa jua kupinduka?

Jibu: Ndio ni kweli. Ijumaa haina wakati uliyokatazwa wa jua kupinduka. Hakuna wakati uliyokatazwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/de
  • Imechapishwa: 20/10/2017