Hakuna vitenguzi isipokuwa tu vile kumi alivyotaja Imaam Ibn ´Abdil-Wahhaab?


Swali: Imepokelewa kutoka kwa wanachuoni (Rahimahumu Allaah) vitenguzi vingi zaidi ya hivi kumi. Ni kwa nini mtunzi ataje hivi kumi tu pasi na vyengine?

Jibu: Shaykh ametaja tu vile muhimu zaidi. Hajasema kuwa hakuna vyengine zaidi ya hivi. Bali alichosema ni kwamba hivi ndio muhimu zaidi. Vyenginevyo vitenguzi ni vingi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 32
  • Imechapishwa: 11/05/2018