Swali: Inajuzu kwa watu wa kawaida kubomoa makuba juu ya makaburi ikiwa mtawala amekataza yasibomolewe?
Jibu: Hapana, haijuzu kwake kufanya hivo. Watajenga mazuri zaidi kuliko yale yaliyokutwa. Ni lazima aweko mtawala. Hakuna yeyote awezae kupinzana na mtawala tofauti na wewe ambaye huenda hata wakakuua.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
- Imechapishwa: 19/09/2017