Swali: Vipi kuhusu mwenye kutofautisha kati ya Hadiyth Aahaad na Mutawaatir?

Jibu: Usawa ni kwamba hakuna tofauti. Sifa zilizosihi katika Qur-aan ni wajibu kuzithibitisha. Sahihi ni kwamba hukumu za sifa zinathibiti kwa Sunnah Swahiyh. Ni mamoja iwe Mutawaatir au Aahaad.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
  • Imechapishwa: 09/08/2020