Swali: Ni upi wakati wa swalah ya kushukuru na namna yake?

Jibu: Kushukuru hakuna swalah. Kilichothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kwamba anapofikiwa na kitu cha kumfurahisha basi anaporomoka kumsujudia Allaah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/صلاة-الشكر
  • Imechapishwa: 10/06/2022