Hakuna shaka juu ya ukafiri wa mtu huyu

Swali: Je, mwenye kumtuhumu mke wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa machafu yale anakuwa ni kafiri…

Jibu: Bila ya shaka. Kwa kuwa anamkadhibisha Allaah. Mwenye kumtuhumu ´Aaishah kwa mambo ambayo Allaah Amemtakasa nayo, amemkadhibisha Allaah, Mtume Wake na Ijmaa´ ya Waislamu. Ni kafiri. Hakuna shaka yoyote kwa ukafiri wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13832
  • Imechapishwa: 16/11/2014