Swali: Katika nchi yetu nje ya nchi hii kuna mlinganizi anasema kuwa hivi sasa kuna Salafiyyah mpya. Anawapachika tuhuma hii wale wenye kufuata Qur-aan, Sunnah na mapokezi ya Salaf na wanachuoni wa Saudia Arabia. Vipi tutaraddi hilo?

Jibu: Salafiyyah hii sio mpya. Salafiyyah hii imejengwa juu ya mapokezi ya Salaf. Sio mpya na iliyozuliwa. Haya ni maneno yasiyokuwa na maana yoyote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Maajiyd (54) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16490
  • Imechapishwa: 16/09/2017