Swali: Wanaigawa Salafiyyah ambayo ni ya Jihaadiyyah na isiyokuwa ya Jihaadiyyah. Ni vipi tutaraddi utata kama huu?

Jibu: Tunairaddi kwa kurudi katika mfumo wa Salaf. Mfumo wa Salaf umeandikwa, umehifadhiwa na uko wazi kabisa. Turudi huko na hatutoona tuhuma hizi na upumbavu huu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17754
  • Imechapishwa: 11/04/2018