Hakuna nusura kwa Ahl-us-Sunnah


Swali: Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Halidhuriki na wale wenye kuwakosesha nusura wala kwenda kinyume nao… “

Nini maana ya ukoseshwaji nusura hapa?

Jibu: Mwenye kulinusuru. Wale wenye kuwakosesha nusura hawawanusuru.

Swali: Ahl-ul-Bid´ah wanaingia ndani yao?

Jibu: Wanaingia ndani yake; kila yule mwenye kwenda kinyume nalo. Kila yule mwenye kwenda kinyume nalo analikosesha nusura kundi lililonusuriwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
  • Imechapishwa: 19/09/2017