Swali: Je, inajuzu kuyaita baadhi ya maradhi, kama vile kansa, kwamba ni machafu?

Jibu: Hapana, yasiitwe kuwa ni machafu. Yasifiwe kuwa ni ya khatari. Kwa sababu ni katika makadirio na mipango ya Allaah. Kwa ajili hiyo yasiitwe namna hiyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 22/11/2019