Hakuna kheri yoyote katika mapinduzi dhidi ya udikteta


Swali: Kuko ambao wanasema kwamba mapinduzi ni ukombozi kwa utumwa wa madikteta. Vipi tutawaradi?

Jibu: Mapinduzi hakuna kheri yoyote ndani yake, hata kama mtawala atakuwa ni dikteta. Hakuna kheri ndani yake. Kwa kuwa yanasababisha madhara zaidi. Watu wanauawa. Machafuko. Kukosekana kwa amani. Hakuna kheri yoyote ndani ya mapinduzi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14252
  • Imechapishwa: 05/09/2020