Swali: Ni vipi muislamu ataweza kuilea nafsi yake juu ya makadirio ya Allaah?

Jibu: Anaweza kufanya hivo pale atapojifunza elimu yenye manufaa. Hivo ndivyo atailea nafsi yake. Ama akiwa mjinga ni vipi ataweza kuilea nafsi yake?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (80) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-17-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2018