Hakukhusishwi ´ibaadah yoyote Rajab


Swali: Je, kumethibiti fadhila za ´ibaadah katika mwezi wa Rajab?

Jibu: Hapana, hakukuthibiti katika mwezi wa Rajab kukhusisha kufanya ´ibaadah yoyote. Rajab ni kama miezi mingine. Hakukuthibiti kukhusisha kufanya ´ibaadah katika Rajab. Kwa sababu Rajab ni kama miezi mingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus al-Masjid al-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 04/04/2018