Hakuhitajiki picha katika kufunza


Swali: Ni ipi hukumu ya kuwafunza watoto herufi zilizoambatana na picha za viumbe vilivyo na roho ili iwe wepesi kwa watoto kuhifadhi na kutambua?

Jibu: Waislamu wamejifunza elimu ambayo wewe huwezi kupata hata sehemu ya kumi yake pasi na kuhitajia picha. Jiepushe nazo na jitenge nazo mbali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2017