Hakufurushwi mtu mpaka yatimie masharti na kuondoke vikwazo


Swali: Wanachuoni wanasema kwamba hakufurishwi mtu kwa dhati yake mpaka yatimie masharti na kuondoke vikwazo au asimamishiwe kwanza hoja. Je, haya ni kweli?

Jibu: Ndio, haya ni kweli. Lakini kusimamikiwa na hoja kunapatikana kwa kufikiwa na Qur-aan kwa njia ambayo ataielewa iwapo kweli atataka kuelewa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 34
  • Imechapishwa: 25/05/2018