Hakubali msamaha


Swali: Kuna mwalimu mwanamke aliwaambia wanafunzi wake ya kwamba hamsamehi mwanamke wala mwanafunzi yeyote kumsengenya. Nikamsengenya halafu nikaenda kumuomba msamaha, lakini akakataa. Nifanye nini? Nini mwenye kujuta na mwenye kuogopa.

Jibu: Inatosha umejuta na kutubia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
  • Imechapishwa: 23/09/2017