Swali: Kuna mtu ameacha anausia kwamba azikwe karibu na nyumba yake. Familia yake ikamzika nyumbani kwake na haikumzika makaburini. Inajuzu?

Jibu: Hapana, haijuzu. Haifai akazikwa peke yake na akawekwa katika maudhi na usaliti. Kuna khatari vilevile watu wakaanza kuitakidi juu yake baada ya kufariki kwake ya kwamba ni walii na mfano wa hayi. Anatakiwa kuzikwa pamoja na waislamnu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%201%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017