Swali: Wakati mwingine inatokea yule jini kuzungumza wakati wa kumsomea yule mgonjwa matabano ya Kishari´ah na wakabainisha ni wapi ulipo uchawi. Je, inajuzu kwenda kutafuta sehemu hiyo iliyoelekezwa na jini hili?

Jibu: Haijuzu kuwasadikisha wala kukubali chochote kutoka kwao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
  • Imechapishwa: 10/09/2017