Swali: Kuna mtu anaishi katika nchi ya kikafiri ambayo inakataza Hijaab masomoni ambapo mabanati zake wanaonyesha nyuso zao. Je, baba ndiye anapata madhambi au wasichana hao?

Jibu: Wote. Haijuzu kuvua Hijaab. Wanafanya ya haramu kwa sababu ya masomo? Haijuzu kufanya hivi. Waislamu wanatakiwa kufungua masomo yao binafsi katika miji ya makafiri na kuwafunza wasichana wao. Vinginevyo masomo sio lazima. Hijaab ni lazima.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%204%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017