Swali: Je, inajuzu kuswali nyuma ya mtu ambaye anajuzisha kuomba du´aa kwa asiyekuwa Allaah na anaweka wakati na kati baina yake na Allaah?

Jibu: Huyu ni mshirikina. Swalah ya mshirikina si sahihi na haisihi akawa imamu mpaka atubu kwa Allaah (´Azza wa Jall) na amtakasie ´ibaadah Allaah na aache shirki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_08.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2018