Swali: Ni ipi hukumu ya kuzitia nyusi rangi kwa rangi ya nywele?

Jibu: Haijuzu kubadilisha nywele. Zinatakiwa kubakia kama zilivyo. Nywele za kichwani na za kwenye nyusi zibaki kama jinsi Allaah alivyoziumba. Isipokuwa ikiwa kama nywele zake zimeumbuka; hapo ndipo ataondosha huo muumbuko. Vinginevyo aziache na wala asizibadilishe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-13.mp3
  • Imechapishwa: 08/06/2018