Haifai kukusanyika kwa mfiwa kwa ajili ya kumuazi

Swali: Ni ipi hukumu ya kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole?

Jibu: Wanachuoni wetu wamesema kuwa imechukizwa. Ikiwa anataka kumpa pole basi afanye hivo msikitini na kwenginepo. Akiwa ni mwanamke basi fanye hivo kwa simu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanz-uth-Thamiyn, uk. 35
  • Imechapishwa: 30/08/2020