Hadiyth nyonge sana juu ya kuigawanya Ramadhaan mafungu matatu

Swali: Je, imesihi Hadiyth inayosema kuwa mwezi wa Ramadhaan mwanzoni mwake ni rehema, katikati yake ni msamaha na mwisho wake ni kuachwa huru na Moto?

Jibu: Hii ni Hadiyth iliyotungwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: As´ilah Ramadhwaaniyyah (02) https://www.youtube.com/watch?v=TC-c-oKkhec
  • Imechapishwa: 15/05/2020