Hadiyth ya mwanamke kumsujudia mume wake ni Swahiyh?

Swali 20: Ni vipi hali ya Hadiyth isemayo:

“Lau ningelimwamrisha yeyote kumsujudie mwengine basi ningelimwamrisha mwanamke kumsujudia mwanamume kumsujudia mume wake.?[1]

Jibu: Haina neno. Imepokelewa na Mu´aadh.

[1] at-Twabaraaniy (5/5116-5117). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”as-Swahiyhah” (3366).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 35
  • Imechapishwa: 13/10/2018