Swali: Tunafanya kazi kwenye kampuni inayokodisha vifaa. Wakati kazi inapomalizika mjumbe anatutaka kuandika bei ya ziada kwenye risiti kuliko uhalisia ulivyo. Kwa mfano biashara ilikuwa pesa 500 anatutaka kuandika pesa 600 kwenye risiti…

Jibu: Haijuzu. Kufanya hivi ni haramu. Huu ni uongo na hila na wala haijuzu. Andika kama ilivyo, sawa na makubaliano yalivyo, na wala usizidishe juu yake ili usije kuwa mwenye kudhulumu kampuni na mfanyikazi. Andika mambo yalivyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017