Swali: Gesi ambayo mtu anahisi tumboni bila ya kuhisi kutokwa na kitu. Inavunja wudhuu´?

Jibu: Hapana, mpaka atokwe na kitu. Sauti yenye kutoka tumboni haiathiri kitu mpaka atokwe na kitu na awe na yakini ya kuwa wudhuu´ umetenguka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017