Fupisha midhali hujui safari yako itamaliza siku ngapi


Swali: Nataka kusafiri na sijui nitabaki huko kwa muda kiasi gani; naweza kubaki siku mbili au hata wiki mbili. Je, inajuzu kwangu kufupisha swalah kwa ule muda wote wa safari yangu?

Jibu: Ikiwa hukunuia kubaki kwa muda usiozidi siku nne inafaa kwako kufupisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017