Swali: Nikijiunga na swalah baada ya kupitwa na Rak´ah isiyopungua moja nalazimika kuleta mkao wa Tawarruk katika ile Rak´ah ya mwisho ilihali sio Rak´ah ya mwisho kwa nisba yangu?

Jibu: Ndio, amfuate imamu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 150
  • Imechapishwa: 03/07/2022