Swali: Anakufuru mwenye kusujudu na kuchinja mbele ya sanamu na kaburi au ni lazima kwanza itazamwe kama amesujudia na kuchinjia sanamu au amechinja na kusujudu kwa ajili ya Allaah?

Jibu: Falsafa hizi hazijuzu. Mwenye kuchinja kwenye kaburi ni mshirikina. Mwenye kusujudu kwenye kaburi ni mshirikina. Hatuangalii ya kwamba amenuia hili wala lile. Zote hizi ni falsafa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
  • Imechapishwa: 05/07/2020