Swali: Ambao wamepitwa na Fajr na wakaamka wakati wa mchana waiswali kwa sauti ya juu au kimyakimya?

Jibu: Waswali kwa sauti ya juu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
  • Imechapishwa: 19/06/2022