Nilisema kumwambia baba yangu: Nisiposwali Witr basi hujihisi kuwa nimetenda dhambi ambapo akasema: Kwa nini? Je, wewe ni Hanafiyyah[1]?

[1] Wanaona kuwa Witr ni lazima. Tazama Radd ya baba yangu (Rahimahu Allaah) juu ya hilo katika ”as-Swahiyhah” (01/222/ uelewa wa Hadiyth 108).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 183
  • Imechapishwa: 03/07/2022