Swali: Ni ipi hukumu ya Du´aa za pamoja katika Twawaaf na Say´ jambo ambalo linafanywa na watu wengi leo?
Jibu: Ni Bid´ah. Hii ni Bid´ah. Ni Bid´ah ya kuongezwa. Du´aa ni Sunnah. Lakini kuongeza juu yake ikawa kwa pamoja, hii ni Bid´ah ya kuongezwa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-04-06.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014