Du´aa za pamoja baada ya swalah

Swali: Imamu anaomba du´aa baada ya kumaliza kuswali na maamuma wakaitikia ”Aamiyn.” Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Ni Bid´ah. Ni Bid´ah ambayo ni lazima iachwe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 06/02/2021