Du´aa za pamoja baada ya kumaliza kuswali

Swali: Ni ipi hukumu ya imamu kuomba du´aa baada ya kumaliza kuswali na maamuma wanaitikia kwa kusema: “Aamiyn”?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Ni wajibu kuachana nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 20/05/2019