Swali: Ni ipi hukumu ya kusimama karibu na kaburi na kumuomba du´aa ya pamoja yule maiti? Je, inajuzu?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Du´aa ya pamoja na Bid´ah. Kila mmoja amuombee maiti kivyake. Mtu asifungamane na mwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017