Du´aa ya kuingia msikitini korido


Swali: Ikiwa msikiti una kama korido nje ya msikiti na mtu akaingia ndani; je, asome du´aa pale atapoingia katika korido hiyo au asome pale atapoingia kwenye msikiti wenyewe?

Jibu: Asome pale atapoingia mlango wa msikiti. Ni mamoja ni katika korido au kwenye msikiti wenyewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 07/11/2018