Du´aa ya kuingia chooni inasomwa kabla ya kuingia II

Swali: Du´aa ya kuingia chooni inasomwa ndani?

Jibu: Aisome kabla ya kuingia ndipo aseme:

أعوذ بالله من الخُبُث والخبائث

“Najilinda kwa Allaah kutokamana na mashaytwaan ya kiume na ya kike.”[1]

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/36768-2/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6244/%D9%85%D8%AA%D9%89-%D9%8A%D9%82%D8%A7%D9%84-%D8%AF%D8%B9%D8%A7%D8%A1-%D8%AF%D8%AE%D9%88%D9%84-%D8%A7%D9%84%D8%AE%D9%84%D8%A7%D8%A1
  • Imechapishwa: 12/12/2020