Swali: Baada ya Khatwiyb kumaliza Khutbah ya ijumaa na kabla ya kushuka kwake kutoka kwenye mimbari, anaelekea Qiblah, ananyanyua mikono na kuanza kuomba du´aa. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Haijuzu kufanya hivo. Ni wajibu kumzindua Khatwiyb huyu. Ni kitu ambacho hakikufanywa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Atakayezua katika amri yetu hii yasiyokuwemo atarudishiwa mwenyewe.”[1]

[1] al-Bukhaariy (2697).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017